XXL Back 2 School Bash lifanyika leo Kunduchi Wet n' Wild!!

Washiriki mbalimbali wa tanmasha la XXL Back 2 School Bash limefanyika leo katika ufukwe wa bahari ya hindi pale Kunduchi Wet n' Wild na kuhudhuriwa na wanafunzi kibao kama unayowaona wakila raha zao kwa kushiriki michezo mbalimbali kama unavyowaona katika picha za chini picha kwa hisani ya mdau wa michuzijunior.blogspot.com

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment