Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk James Msekela, akizungumza wakati wa uzinduzi wa vyumba 3, vya madarasa ya shule ya sekondari Ntyuka, iliyopo umbali wa Kilometa saba kutoka Manispaa ya Dodoma, iliyojengwa na Mfuko wa Misaada wa Vodacom Faundation yenye thamani ya zaidi ya Milioni 34, hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa vodacom, Dietlof Mare (kushoto) ni Mkuu wa Mfuko huo, Mwamvita Makamba.
VODACOM FAUNDATION YAKABIDHI MADARASA MATATU SHULE YA SEKONDARI NTYUKA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment