JENGO JIPYA LA UBALOZI WA KENYA LAZINDULIWA!!

Jengo jipya la Ubalozi wa Kenya Harambee Plaza ambalo Rais Mwai Kibaki amelizindua rasmi leo kama linavyoonekana katika picha likiwa linavutia kutokana na ubunifu uliotumika katika kulijenga.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment