Wachezaji wa timu ya Kelken Fitness Klabu ya chang'ombe wakijifua!!

Wachezaji wa timu ya Kelken Fitness Klabu ya chang'ombe, David Kiwanga(katikati) na wenzake katika mazoezi ya viungo wakati wa maandalizi ya timu ya Fitness kujiwinda na mchezo dhidi ya maveterani wa mkoa wa Tanga siku ya jumapili katika uwanja wa Gymkhana.



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment