RAIS JAKAYA KIKWETE AKITEMBELEA BANDA LA PRIDE TANZANIA JIONI HII!!

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mmoja wa wajasiliamali waliopo kwenye banda la shirika lisilokuwa la kiserikali linalotoa mikopo kwa wafayabiashara ndogondogo Pride Tanzania wakati alipotembelea katika banda hilo jioni hii katika maonyesho ya 33 ya biashara ya kimataifa yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kirwa jijini Dar es alaam, ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na wajasiliamali hao, wa pili kutoka kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na katikati ni Meneja mkuu wa Shirika la Pride Shimimana Ntuyabaliwe.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment