PABLO MASAI WA FM ACADEMIA AONGOZA MASHAMBULIZI YA BURUDANI SABASABA!!

Kundi la wanamuziki wa FM Academia wakiongozwa na Pablo Masai kuonyesha bonge sho ya kukata na shoka wakati wa onyesho lao lililofanyika kwenye banda la Bia ya Henken katika maonyesho ya 33 ya biashara ya kimataifa viwanja vya J.K. Nyerere barabar ya Kirwa.
Mashabiki mbalimbali wakishangweka wakati bendi ya FM Academia watoto wa mujini ilipokuwa ikitumbuiza kwenye banda la Henken katika maonyesho ya 33 ya biashara ya kimataifa sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere barabara ya Kirwa jijini Dar es alaam maonyesho hayo yanafikia tamati tarehe 9/7/2009.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment