Mkutano Mkuu wa Wanahisa TBL wafanyika Kilimanjaro Kempinski!!

Waziri Mkuu Msitaafu, Cleopa Msuya ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), akizungumzia mafanikio ya kampuni hiyo katika Mkutano Mkuu wa 36 wa Wanahisa wa Kampuni hiyo, Dar es Salaam jana.Kutoka Kulia ni Meneja Masoko wa TBL, David Minja,Meneja Uhusiano wa TBL, Maneno Mbegu na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo,Robin Goetzche mkutano huo ulifanyika leo kwenye hoteli ya Kilimanjaro Kempiski.
Mwanahisa Reginald Mamiro wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), akichangia hoja wakati wa Mkutano Mkuu wa 36 wa Wanahisa wa Kampuni hiyo, Dar es Salaam leo uliofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempinski.



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment