KANDA YA KATI WAPATA WAWAKILISHI WA MISS VODACOM TANZANIA 2009!!

Waziri wa nishati na madini Wiliam Ngeleja ambae alikuwa mgeni rasmi katika shindano la kumtafuta Vodacom Miss kanda ya kati akicheza muziki na Vodacom Miss kanda ya kati mara baada ya kuvalishwa taji lake.

Vodacom Miss Kanda ya Kati 2009, Rosemary Robert (katikati) akiwa na washindi wenzake, mshindi wa pili, Stellah Chidodo (kulia) na watatu, Veneranda Rutta, mara baada ya kutangazwa washindi kwenye shindano hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma. Picha kwa Hisani ya Vodacom



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment