Mjengo huu unazidi kupaa juu kandokando ya jengo la PPF Tower!!

Wadau kikwangua anga pembeni ya ppf tower kinazidi kwenda kwa kasi.hii hi leo mchana kama mnavyoona mjengo ndiyo kwanza unazidi kwenda juu na ni moja ya majengo yatakayopendezesha mandhari ya jiji la Dar es alaam mara litakapokamilika.Naomba kuwakilisha kwa wadau
inatoka kwa mdau Mac Temba Jr

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment