Wachezaji na mashabiki wa timu ya Mafunzo wakishangilia mara baada ya kuishinda timu ya Miembeni na kukabidhiwa kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Zanzibar katika mchezo uliochezwa ijumaa mwishoni mwa wiki hii mjini Zanzibar.
Mashabiki wa timu yaMafunzo inayoshiriki ligi kuu ya Zanzibar wakiwa wamejichora mwililni kama moja ya mbinu za ushangiliaji wakatika timu hiyo ilipokutana na timu ya Miembeni katika mechi ya kumpata bingwa wa ligi hiyo ambapo Mafunzo walishinda magoli 2-1 na kufikisha pointi 51 na Miembeni wakabaki na pointi zao 45 hakuna timu nyingine itakayofikia pointi za Mafunzo mchezo huo ulifanyika ijumaa ya wiki hii.
0 comments:
Post a Comment