FOTINATA ni filamu yenye asili ya kitanzania ambayo iko mbioni kutoka na kuingia sokoni , filamu hiyo imerekodiwa maeneo mbalimbali katika mikoa ya kusini mwa Tanzania imeongozwa na mwongozaji MAJID MSIGWA hivi sasa ipo katika hatua za mwisho ili iweze kuingizwa sokoni, hivyo kwa mtu yeyote atakayetaka kununua au kuingia mikataba ya kusambaza awasiliane na wahusika kupitia namba 0752206309 au
email :msengaonesmo12@gmail.com
0 comments:
Post a Comment