MPANGAJI MMOJA JINA KLAKE HALIKUPATIKANA MARAMOJA ALIYEKUWA ANAISHI MAENEO YA MOKOCHENI B. AMETUPIWA VYOMVBO VYAKE NJE NA MWENYE NYUMBA ALIPOKUWA AMEKWENDA KUMUUGUZA MWANAE MKOANI MBEYA, BAADA YA KUTUPIWA VYOMBO VYAKE NJE MWENYE NYUMBA ALIKIGEUZA CHUMBA HICHO KUWA KANISA LA KIMATAIFA LA LIGHTHOUSE CHAPEL LILLIPO MTAA WA NYUMBU KITALU NO 104. HUKO MIKOCHENI B KARIBU NA CHUO CHA TRA. WAUMINI WAKE NI WALE WENYE UWEZO WA KUONGEA KIINGEREZA TU NA WENGI WAO SIO RAIA WA TANZANIA, HAYA WADAU HIZO NDIYO KERO ZA NYUMBA ZA KUPANGA.
kAMA UNAVYOONA HAPA HAWANA LA KUFANYA TENA HAPA.
kAMA UNAVYOONA HAPA HAWANA LA KUFANYA TENA HAPA.
0 comments:
Post a Comment