AANDAMANA NA MABANGO KUTOKA ARUSHA AKIITAKA SERIKALI KUHAMISHIA OFISI ZAKE MJINI DODOMA!!

Mzee Anney Anney aliyesafiri kutoka Mkoani Arusha mpaka jijini Dar es alaam akiwa na mabango yanayohimiza Serikali kuhamishia ofisi zake zote mjini dodoma ikiwemo ikulu hapa kama unavyomuona akiongea na wanahabari katika mtaa wa Samora juu ya kilichomleta kutoka huko Arusha.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment