REDDS MISS TEMEKE WAENDELEA KUJIFUA TCC SIGARA CHANG'OMBE!!

Huyu aliyetulia katika pozi anaitwa Rona Swai Miss Temeke namba mbili mwaka uliopita 2008 na ndiye mwalimu anayewafundisha warembo watakaoshiriki kwenye shindano hilo la Redds Miss Temeke 2009
Warembo wa miss watakaoshiriki shindano la Redds Miss Temeke wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mazoezi yanayoendelea TCC Sigara Chang'ombe. shindano hilo litafanyika tarehe 1 mwezi ujao hapoahapo TCC Sigara, Shindano hilo linadhaminiwa na Redds premium Cold , Vodacom, Aurora Security, Gazeti la Jambo Leo, 88.4 Clouds Fm, Mariedo Boutique, Valley Sping, Sophia Records, Raque Studio, Renzo Saloon, Mbunifu Ally Remtullah, Screen Masters tiketiza VIP zinauzwa 50.000 shilingi wasiliana na wahusika kwa namaba 0713406507.


Mwandaaji wa shindano hilo Benny Kisaka akiwaelezea jambo walimu pamoja na warembo wakati wa mazoezi yanayofanyika kwenye club ya TCC Sigara Chang'ombe jioni hii.

Mwalimu wa showRichard Yalomba (Bob Rich) akiwafundisha warembo wa Miss Temeke wakati wa mazoezi yanayofanyika kwenye Club ya TCC Sigara Chang'ombe shindano hilo linatarajiwa kufanyika tarehe 1 mwezi ujao katika ukumbi huohuo.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment