WATOTO YATIMA WA TANZANIA MITINDO HAUSE WASHEREKEA SIKU YA MTOTO WA AFRICA!!

Mkurugenzio wa kituo cha kulelea watoto yatima na wenye mazingira magumu Tanzania Mitindo House ambaye pia ni mbunifu maarufu wa mavazi hapa nchini Khadija Mwanamboka akiwa na watoto hao pamoja na wageni kutoka Canada Katie na Kleey waliohudhuria sherehe hizo kituoni hapo jana kwa ajili ya kushiiriki na watoto katika kituo hicho.
Watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Tanzania Mitindo House wakati wa maadhimisho ya siku ya mtoto wa Africa kwenye kituo hicho jana siku hii huadhimishwa kila mwaka juni 16.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment