
Wafanyakazi wa mbalimbali wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom kitengo cha Corporate solutions wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto wa kituo cha kulelea watoto yatima Chakuwama kilichoko Sinza jijin Dar es alaam jana katika kusherekea siku ya mtoto wa Africa wafanyakzi hao pamoja na watoto walikula cha mchakula kwa pamoja na kubadilishana mawazo mbalimbali na watoto hao.

Watoto wakila chakula cha mchana kilichoandaliwa na wafanyakazi wa Vodacom kitengo cha Corporate Solutions jana katika kituo cha kulelea watoto yatima Chakuwama katika kusherekea siku ya mtoto wa Afrika.

Mdau wa blog ya Mactemba.blogspot.com Edwin Mac Temba ambaye pia ni mfanyakazi wa Vodacom akiwa na watoto wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Chakuwama kilichopo Sinza jana hii ilikuwa ni kusherekea siku ya mtoto wa Africa.
0 comments:
Post a Comment