TORY OSCAR ATAWAZWA KUWA MISS MOROGORO 2009!!

Miss Morogoro 2009 Tory Oscar akiwa katika picha ya pamoja na warembo wenzake, mara baada ya kushinda taji la mji huo kasoro bahari kulia ni mshindi wa pili Mariam Didi na Kushoto ni msindi wa tatu Shekha Washokera, shindano hilo lilifanyika kwenye Hoteli ya Masuka na washindi hao watawakilisha mkoa wa Morogoro katika shindano la kanda ya Mashariki picha kwa hsani ya John Nditi.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment