
Miss Vodacom Chang'ombe 2009 Sia Ndeskoi akipunga mkono kwa mashabiki mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano la Miss Vodacom Chang'ombe 2009, kulia ni mshindi wa pili FatmaYassin na kushoto ni mshindi wa tatu Sara Steven shindano hilo limefanyika kwenye ukumbi wa Tcc Sigara Chang'ombe jijini Dar Usiku wa kuamkia leo.

Miss Vodacom Chang'ombe 2009 Sia Ndeskoi akiwa katika picha yapamoja na mshindi wa pili kulia Fatma Yassin na mshindi wa tatu SaraSteven mara baada ya kutangaza washindi wa shindano hilo lililofanyikakwenye ukumbi wa Tcc Sigara Chang'ombe usiku wa kuamkia leo jijiniDar, na wengine ni washindi wa nne na wa tano Ummy Ally na Harriet Kibube.

Warembo walioingia tano bora ya Miss Vodacom Chango'ombe 2009 wakiwawamepozi kwa picha kutoka kulia ni Sara Steven, Fatma Yasin, UmmiAlly, Sia Ndeskoi na Hariet Kibube.

Washiriki wa shindano la Miss Vodacom Chang'ombe 2009 wakicheza shooya utambulisha wakati wa shindano hilo lililofanyika usiku wa kuamkialeo kwenye ukumbi wa Tcc Sigara Chang'ombe usiku wa kuamkia leo

Mrembo katika pozi na vazi la ufukweni.

Vazi la Ufukweni hili

Sauda Mwilima mtangazaji wa Star Tv ambaye pia alikuwa MC wa shindano la Miss Chango'mbe 2009 akizungumza chochote si unajua mdau ma Mc hawakosi cha kuzungumza.

Mdau wa Urembo mama Shubi akiwa katika poozi la kimiss hebu mcheki mdau.

Mwimbaji wa Fm Academia Pablo Masai kushoto akiwa na msanii mkali katika bongofleva Godfrey Tumaini aka Dudu Baya katikati na mwandishi wa gazeti la Football Emmanuel Malima

Wakuu wa kamati ya Miss Tanzania Bosco majaliwa kushoto na Albert Makoye katikati wakiteta jambo na mwandaaji wa Kitongoji cha Miss Tabata Fredy Ogot.

Mkurugenzi wa Gazeti la Football ambao walikuwa ni miongoni mwa wadhamini Jimmy Chika akifuatilia kwa karibu wakati shindano hilo lililpokuwa likiendelea usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Tcc Sigara Chang'ombe kushoto ni Mtangazaji wa Radio Tumaini Jodety.
0 comments:
Post a Comment