MISS SINZA KUPATIKANA JUNI 19 VATCAN SINZA!!


Hawa ndiyo warembo watakaoshiriki kwenye shindano la kumsaka mrembo wa kitongoji cha Sinza linalotarajiwa kuafanyika juni 19 kwenye ukumbi wa Vatcan Sinza Burudani ikiletwa kenu na kundi zima la Fm Academia watoto wa mujini na kundi la mfalme Siboka Chocolate .
mshindi wa shindano hilo atanyakua kitia cha shilingi 500.000 wa pili 300.000 watatu200.000 na washindi wa nne na wa tano watajipatia shilingi 150.00 kila mmoja huku wengine wakiondoka na kifutajasho cha 100.000 kila mmoja.
Warembo wanaoshiriki katika shindano hilo ni Lilian Komba, Salma Said, Beatrice Shayo, Rahma Faiz, Beatrice Shirima, Lulu Ibrahim, Aminatha Omar, Evastansia Temba, Dedensia Dawsony, Jane Wilson na Nazia Gabriel na kiingilio kitakuwa shilingi 15.000 na 5000.
Wadhamini wa shindano hilo ni Vodacom, Redds ,Vuvuzel. Old Kent Pub, Vanne Fashion, Sonda Communications, Break Point Bar, Habari Cooparations Zizzou Fashions na Clouds Fm

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment