
Murugenzi wa Manka Mushi Promotion akiongea nawanahabari kwenye mgahawa wa Hadees leo wakati alipozungumziamaandalizi ya shindano la kumtafuta Miss Higherlearning 2009linalotarajiwa kufanyika Julai 3 jijini Dar es alaam kwenye ukumbi wa Karimjee jumla ya warembo15 watapanda jukwaani kushindania taji hilo, kulia ni mjumbe wa kamati Zabron Mangare na kushoto ni mwanakamati mwingine Ally Chande kama unavyoona wapiga picha wao wanafanya vitu vyao tu ili kuujuza .

Mkurugenzi wa Manka Mushi Poromotion Manka Mushi akiwa katika picha ya pamoja na Meneja masoko wa Tanzania Distilaries Ltd (TDL)Martha Bangu mara baada ya mkutano na wanahabari leo TDL ni wadhamini wa shindano hilo kuoitia kinywaji chao cha OVERMEER CELLARS.

Mkurugenzi wa Manka Mushi Promotion ambayo inaandaa shindano la Miss Higherlearning 2009 akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa habari na mawasiliano wa Miss Higherlearning John Bukuku ambaye ni kamanda mshika Camera wa Blogu yenu ya Fullshangwe ambao pia ni wadhamini wa shindano hili kupitia
http://www.fullshangwe.blogspot.com/
Wajumbe wa kamati ya maandalizi ya Miss Higherlearning 2009 kutoka kulia ni Ally Chande, Zabron Mangare na Nehemia DonJuan wakiwa katika pozi mara baada ya mkutano na waandishi wa habari leo
Warembo 15 kutoka vyuo 8 ambavyo ni UD, TSJ, IFM,SOCIAL WORK, CBE na JK Kigamboni. Mazoezi yanaanza 15/6/09 katika ukumbi wa Billcanas. Warembo watakua chini ya Miss Tanzania namba 3, ambaye pia alikua Miss Higherlearning mwaka jana, Pendo Laizer.
Shindano hilo litafanyika 3/07/09 siku ya Ijumaa katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es alaam, Bendi ya African Stars Twanga Pepeta itatoa burudani la kukata na shoka siku hiyo kwa mtindo wao wa kusugua kisigino, onyesho hilo linadhaminiwa na makampuni ya
Vodacom
TDL – Submiller
Ben Expedition Tours
Air Tanzania
Ndege Insurance Co.
Tesco Furniture
Clouds FM + Leo tena
Perfect Solutions
Global Publishers
Billcanas
Rozella Saloon
Fullshanwe.blogspot
City Stars Boutique
Dollwood
Varley Spring
Hattman Production
Zizzou Fashion
Aurora Security
na Carpuany Design.
0 comments:
Post a Comment