KESI ZA MAUAJI YA ALBINO ZAANZA KUSIKILIZWA!!

Wakili wa utetezi katika kesi ya mauaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) na vikongwe Bw. Feran Kweka akiongea na watuhumiwa kabla ya kuanza kwa kesi inayowakabili chini ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma Gadi Mjemas. Kikao hicho kimeaza leo (Juni 8, 2009) mjini Shinyanga.
Kesi za mauaji ya Ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi ama Albino zimeanza leo katika mahakama kuu za kanda ya ziwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi, Kesi hizo zinatarajiwa kusikilizwa mfululizo kwa siku 35. picha kwa hisani ya (Bongopix)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment