AFRICAN STARS BAND WANAHITAJI FUNDI MITAMBO (SOUND ENGENEER)!

African Stars Band (Twanga pepeta) wanatangaza nafasi ya kazi kwa Fundi Mitambo (Sound Engeneer) mwenye uzoefu wa kutosha katika kuseti (Sound) Muziki katika Mazingira yeyote viwanja vya nje na kumbi za ndani
1:Awe anajua kuvisoma vyombo na kuunganisha.
2:Elimu Kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
3:Uzoefu wa kutosha katika kuseti sauti za vyombo na wanamuziki, pia kujua mpangilio wa vyombo na wanamuziki
Maombi yote ya nafasi hiyo yafikishwe katika ofisi za ASET au wasiliana nao kwa namba zifuatazo 0713-191919 na 0787-606564

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment