Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda (kushoto) akiangalia zawadi ya bilauri aliyozawadiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Robin Goetzsche (katikati) baada kuzindua mtambo mpya wa kisasa wa kufungasha bia katika hafla iliyofanyika kiwandani hapo Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Bi. Dorris Malulu.
Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda (wa pili kushoto) akibonyeza kitufe kuzindua mtambo mpya wa kisasa wa kufungasha bia katika kiwanda cha bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kunshoto ni Meneja wa kiwanda hicho, Bw. Salvatory Rweyemamu. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa (TBL), Bw. Robin Goetzsche na wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.William Lukuvi (wa tatu kulia), Waziri wa Viwanda, Buiashara na Masoko, Dkt.Mary Nagu (picha na Ridhard Mwaikenda).
0 comments:
Post a Comment