WAACHENI WATOTO WADOGO WAJE KWAGU MAANA UFALME WA MUNGU NI WAO!!

Mr na Mrs. Tomoth Malasusa na mtoto wao Kyra wakiwa katika picha ya pamoja na Baba Askofu wa KKKT Tanzania mara baada ya ubatizo wa mtoto wao Kyra, ilipendeza kwakweli mdau! Timoth na Familia yake wanatarajia kuondoka hivi karibuni kurejea Uingereza wanakoishi na kufanya kazi.
Mr and Mrs Timoth Malasusa wakiwa wamepiga mgoti ili kuwekewa mikono ya Baraka na baba Askofu Alex Malasusa mara baada ya ubatizo wa mtoto wao Kyra.

Askofu Mkuuwa KKKT Alex Malasusa akimbatiza mtoto Krya Timoth Malasusa ambaye ni mtoto wa mdogo wake katika kanisa la Kirutheri la Kijitonyama jana, wanaoshuhudiani ni Timoth baba wa Kyra kushoto , mama yake Kyra Lora aliyesimama nyuma na msimamizi wa ubatizo wa mtoto huyo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment