VIOJA KATIKA MICHEZO NA BURUDANI!!

Mzee Dalali Ni kama anasema Madega nifuate huku kijana sisi ndiyo vijana wa siku nyingi na wazee wa sasa hivyo tumeona mengi na tunajua mengi twende kijana wangu, hawa ni wenyeviti wa Simba na Yanga ni watani wa jadi na mahasimu wakubwa katika soka lakini undugu na Utanzania unabaki palepale.
Meneja masoko wa TBL Davidi minja akiifagilia Simba huku akiwa ameshikilia kitambaa chekundu kilichokuwa na fungua ya moja ya basi kati mabasi mawili waliyokabidhiwa simba kama moja ya mambo muhimu katika udhamini wao kwa timu za Simba na Yanga.

Mzee wa zamani mwanamuziki Kassim Mapili kati mwenye suti nyeupe akiwa na vijana wa sasa bendi ya Kalunde hivi karibuni wazee kama hawa ni hazina kwa wanamuziki wetu wa sasa katika kuwapatia ushauri mbalimbali wa mambo mbalimbali ya kazi za muziki.



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment