VODACOM YASAIDIA COMPYUTA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA KOROGWE NA MEMORIAL!!

MKUU WA MFUKO WA KUSAIDIA JAMII WA VODACOM TANZANIA (VODACOM FOUNDATION) MWAMVITA MAKAMBA AKIMKABIDHI MSAADA WA KOMPYUTA DADA MKUU WA SHULE YA WASICHANA YA KOROGWE GLORIA MUSHI, JUMLA YA KOMPYUTA 15 ZENYE THAMANI YA MILIONI 10.5 ZILIKABIDHIWA.
WASANII WA KIKUNDI CHA SARAKASI CHA KOROGWE CULTURE GROUP WAKITUMBUIZA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHIWA JUMLA YA KOMPYUTA 15 ZILIZOTOLEWA NA MFUKO WA KUSAIDIA JAMII WA VODACOM TANZANIA (VODACOM FOUNDATION)


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment