TTCL WAKIENDELEA NA UKARABATI WA MIUNDOMBINU YAO!!

Mawasiliano ni kitu muhimu sana katika taifa lolote lile, lakini wadau wa sekta hii wanakabiliwa na ushindani mkunbwa kibiasahara ili kuweza kutoa huduma na kukidhi kiu ya wateja wao, hivyo ukarabati wa mara kwa mara wa miundombinu ya makampuni husika ni jambo muhimu, kama anavyoonekana Fundi huyu jina lake halikupatikana mara moja kutoka kampuni ya simu ya TTCL akizifanyia ukarabati nyaya za kampuni hiyo katika maeneo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili picha hii imenaswa na FULLSHANGWE mchana huu.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment