MBEYA FM YAFANIKISHA TAMASHA LA MAKAMPUNI JIJINI MBEYA!!

Wachezaji wa Timu ya SokoMatola wakivuta kamba wakati wa tamasha la makampuni liliandaliwa na Redio ya Mbeya FM hivi karibuni jijini Mbeya.
Meneja Msaidizi wa Mbeya FM Erick Kazonda akifanya usafi na Meneja vipindi Gwamaka wakati wa tamasha la Makampuni lililoandalia na Radio Mbeya FM hivi karibuni Mk0ani Mbeya.

Meneja Vipindi Gwamaka na Afisa Mauzo Ramadhan wakiangalia kwa makini kila kilichokuwa kikiendelea katika tamasha la Makampuni lililoandaliwa na Radio Meya FM hivi karibuni


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment