DK. BINGU WA MUTHARIKA AAPA KUIONGOZA MALAWI MIAKA MITANO MINGINE!!

Rais Bingu wa Mutharika akila kiapo cha kuitumikia Malawi kwa awamu nyingine ya miaka mitano mbele ya Jaji Mkuu wa Nchi hiyo Lovemore Munlo baada ya kushinda kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika hivi karibuni nchini Malawi.Picha na Clarence Nanyaro wa Ofisi ya Makamu wa Rais (VPO)
Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akijadiliana jambo na Jaji Mkuu wa Malwi Lovemore Munlo katika uwanja wa Kamuzu kabla ya jaji huyo kumwapisha Dk Bingu wa Mutharika kuwa Rais wa malawi kwa awamu nyingine ya miaka mitano.

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akivishwa ua muda mfupi baada ya kuwasilishi nchini Malawi ambako anahudhuiria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Malawi Bingu wa Mutharika kufuatia uchaguzi Mkuu ulifanyika hivi karibuni. Anayetazama ni Makamu wa Rais wa Malawi Joyce Banda.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment