ABIRIA NA KONDAKTA WANAPOKAMUANA NANI WA KUAMUA?

Kondakta wa Daladala linalofanya safari kati ya Mwenge na Posta lenye namba za usajiri T920 Avq aina ya Isuzu Jurney jina lake halikupatikana akipambana na abiria, ambaye pia hakutaka jina lake litajwe baada ya ushuka katika gari hilo, abiria huyo alikuwa akilazimisha waende kituo cha polisi, haikufahamika mara moja chanzo cha ugomvi wao uliotokea katika kituo cha Posta mpya.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment