RAIS JK AKIKARIBISHWA NA MWENYEJI WAKE RAIS BARACK OBAMA KATIKA (WHITE HOUSE).

Rais Jakaya Kikwete akipokewa na mwenyeji wake Rais Barack Obama katika Ikulu ya Marekani White House wakati alipofanya mazungumzo naye katika ziara ya kikazi nchini humo, JK ni rais wa kwanza wa kutoka Bara la Afrika kumtembelea Rais Obama katika Ikulu hiyo toka alipochaguliwa kushika madaraka katika nchi hiyo yenye nguvu za kiuchumi Duniani.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment