Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Zain Kenya, Michael Okwiri (kushoto) akiwa na Meneja Biashara wa MTV Kenya, Lisa Amenya (kulia) na msanii wa kike wa hip hop kutoka Kenya, Nazizi wakati Zain & MTV Music Awards walipofanya mkutano na waandishi wa habari Nairobi, Kenya wiki hii.
Msaniii wa Kenya, Nameless, akizungumza na wanamuziki wenzake wakati Zain & MTV Music Awards walipofanya mkutano na waandishi wa habari Nairobi, Kenya wiki hii. Nameless alikuwa mmoja wa waliowania tuzo ya MTV & Zain Awards mwaka jana, hafla iliyofanyika Abuja, Nigeria. Kushoto ni Meneja Biashara wa MTV Kenya, Lisa Amenya.
0 comments:
Post a Comment