Jikholabwina Siza Manyika aka (,Jhikoman) akitoa vionjo vya nyimbo zake wakati alipokutana na wanahabari katika ukumbi wa maelezo kuzungumzia tamasha la kumkumbuka Bob Marley, tamasha hili limedhaminiwa na Kampuni ya Bia nchini TBL kupitia kinywaji chake cha Kilimanjaro Premium Lager.
Benji Cosmo Kiongozi wa kipindi cha Carribien Beat kinacharushwa na Radio Clouds kila Ijumaa wa pili kutoka kulia, akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara ya habari maelezo, wakati alipozungumzia maandalizi ya tamasha la kumkumbuka mwanamuziki wa Muziki wa Raggae kutoka Jamaica Robert Nesta Marley aka Bob Marley, aliyefariki zaidi ya miaka ishirini iliyopita, tamasha hilo liatafanyika katika ukumbi wa Zhonghua Chinese Garden Victoria, kulia kwa Benji ni mwanamuziki Jikhoman na waliokaa kushoto ni Mwanamuziki Good Sesie mwishoni na George Kavishe kutoka TBL Meneja wa kinywaji cha Redds.
0 comments:
Post a Comment