MISS TANGA CITY CENTRE 2009 HUYU HAPA!!

Miss Tanga City Centre Rachel Mlaki katikati akiwa na washindi wenzie kulia Esther Flavian Kushoto mshindi namba mbili na kulia ni Haliam Mshenga mshindi namba tatu shindano hilo limefanyika katika ukumbi wa Swimming Club Raskazone Tanga.
Hawa ndiyo warembo walioingia Top Five ya Miss Tanga city centre wakiwa katika picha ya pamoj a jukwaani kabla ya kutangazwa mkwa mshindi wa shindano hilo liliofanyika usiku wa kuamkiam leo mkoani Tanga.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment