MAKAMU WA RAIS IRAN AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA SIKU MOJA!!

Makamu wa Rais wa Iran Parvis Davoodi akikagua gwaride la jeshi la wanachi la Tanzania JWTZ lililoandaliwa na Rais Amaan Kaume kwa heshima yake, wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimatafa wa Zanzibar picha na Ramadhan Othman wa Ikulu Zanzibar.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment