JESHI LA KULINDA AMANI DARFUR KUTOKA TZ LAKABIDHIWA VIFAA!!

Waziri wa ulinzi Dr. Hussein Mwinyi katikati akiwa ameongozana na Naibu wake kushoto Dr. Emanuel Nchimbi na mkuu wa majeshi Generali Davies Mwamunyange wakikagua vifaa vya kijeshi walivyokabidhiwa wanajeshi wa Tanzania kwa ajili kuvitumia watakapokuwa wakilinda amani nchini Sudan katika jimbo la Darfur.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment