MADEREVA WAKIWA MAKINI WANAWEZA KUEPUKA AJALI ZISIZO ZA LAZIMA!!

Daladala aina ya Toyota DCM lenye namba za usajiri T665AES linalofanya safari kati ya Mbagala na Kivukomoni kupitia barabara ya Kirwa likiwa limepinduka katika mzunguko uliopo Mtini kwa Aziziz Ally, ajali hiyo imetokea Alfajiri leo wakati gari hilo likielekea Mbagala katika safari zake za kawaida za kubeba abiria, haikufahamika kama kuna mtu amejeruhiwa au la.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment