Ras Makunja na The Ngoma Africa yake imekunja mialiko mingi ya Festivals!
Kuanzia Fest-Africa- Burg-Lissberd 31-05-2009,mpaka MASALA Festival,Hannover,14-06-2009 na mengine makubwa yote!!!? ambapo mzimu wa Dansi unataraia kurudi tena UFINI
Habari za uhakika zimeeleza kuwa The Ngoma Africa Band, yenye makao yake nchini Ujerumani,inazidi kutisha kwa kukusanya mialiko mimgi ya kutumbuiza katika maonyesho makubwa barani Ulaya.
Magazeti na majarida mbali mbali barani humo likiwemo gazeti la AFRICA NEWS linalochapishwa jijini Italy, na kusambazwa kote Ulaya, Gazeti hilo limeandika kuwa bendi hiyo
The Ngoma Africa band au "the Golden Voice of east Africa" itanaendelea kufanya makamuzi makubwa na kuzidi kuwatia kiwewe washabiki barani Ulaya kwa kutumia mdundo wake wa "Bongo Dansi"habari zaidi tafadhali bonyeza hapa:http://www.africa-news.eu/news/entertainment/the-ngoma-africa-band-continues-to-thrill-fans.html

2 comments:
hawa wachizani wetu,wanakamua kama vile hawana hakili nzuri!mdundo wao ni mkubwa mno
Ras makunja mwanamziki huyu anajiamini sana !!
Post a Comment