WAREMBO MISS KURASINI WAENDELEA KULA TIZI KALI!!

Mwalimu wa Warembo watakaoshiriki katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Miss Kurasini 2009 ambaye ni Miss Ruvuma 2004 Beatrice Joseph akitoa maelekezo kwa Warembo wake wakati wa mazoezi ya warembo yaliyomalizika jioni hii katika ukumbi wa Equator Grill Mtoni.

Washiriki wa shindano la kumtafuta Miss Kurasini 2009 kanda ya Temeke wameendelea kujifua katika ukumbi wa Equator Grill Mtoni tayarika kwa kinyang'anyiro hicho kinachotarajiwa kufanyika Mei 23 jumamoso hii katika ukumbi huo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment