WISE CREW WAFANYA VITU VYAO MAKUMIRA UNIVERSITY!!

Wasanii wa kikundi cha WISE CREW cha Arusha wakiwajibika stejini katika onyesho lao la kukata na shoka lililofanyika kwenye chuo kikuu cha Makumira Jijini Arusha picha imepigwa na mdau wetu kutoka Arusha Onesmo Msenga.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment