Waziri mkuu Mizengo Pinda akiongea na wana- Rukwa waishio Dar es salaam (hawapo pichani) kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo mkoa wa Rukwa leo jijini Dar es salaam.
Waziri mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya washiriki waliohudhuria mkutano wa wana – Rukwa uliofanyika leo katika ukumbi wa JKT Mgulani jijini Dar es salaam.
Wabunge Chrisant Mzindakaya na Anna Lupembe wote kutoka mkoa wa Rukwa wakisalimiana wakati wa mkutano wa wana – Rukwa waishio jijini Dar es salaam.Mkutano huo ambao mwenyekiti wake alikuwa waziri mkuu Mizengo Pinda umefanyika leo jijini Dar es salaam katika ukumbi wa JKT Mgulani.
Wakazi wa Rukwa waishio jijini Dar es salaam wakimsikiliza Waziri mkuu Mizengo Pinda (hayupo pichani) wakati wa mkutano wao uliofanyika leo jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment