Washington Dc Wabongo Reunion!!


Kua wa kwanza kuna raha yake,kua wa kwanza katika historia kuna heshima yake,karibuni Washington Dc may 22-may24,MEMORIAL WEEKEND na wewe uwe mmoja wao ya wale watakao kua wa kwanza katika WABONGO REUNION EXRAVAGANZA ya kwanza ndani ya Kapitali yenye rais wa kwanza mwafrika, mechi ya Netball ya kwanza katika historia,Dc vs out state,mechi ya kwanza ya Houston v/s Dc ndani ya Kapitali,Mechi ya kwanza ya Yanga v/s Simba itakayochezwa na Wabongo out state na mechi ya kikapu ya kwanza Vijana,Pazi na Don Bosco.hii ni historia unayotakiwa uwe wa kwanza kushuhudia. Karibuni Washinton Dc(Jina kubwa),urushe mikono na kujiachia achia ili mradi si fujo wala patashika bali ni jazba la starehe na burudani litakalo kufanya mchangamfu usiku kucha bila kusahau nyama choma.kwa maelezo





You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment