WALIOMALIZA MWENGE MWAKA 1990!!

JE ULISOMA SHULE YA MSINGI MWENGE NA KUMALIZA MWAKA 1990?
HABARI ZA KAZI,
TAFADHALI TUNAOMBA KUKUTANA NA WATU WOTE WALIOSOMA NA KUMALIZA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM MWAKA 1990. KWA MAWASILIANO WAPIGE SIMU NAMBA 0787 55 90 90 KWA PETTER DAVID MWENDAPOLE AU EMAIL peter@newhabari.com

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment