VODACOM WAANZA KUTOA FOMU ZA VODACOM DAR MARATHON, WATANGAZA PIA ZAWADI!!

Meneja mawasiliano wa Vodacoma Nector Foya kulia na afisa uhusiano Vodacom Martina Nkurlu wakionyesha fomu zitakazokuwa zikitolewa kwa washiriki wa mbio za Vodacom Dar es alaam Marathon zinazotarajiwa kufanyika juni 21 mwaka huu zikianzaia Uwanja mkuu wa Taifa, na zitaanza kutolewa katika maduka ya Vodashop sehemu mbalimbali nchini na kwenye Tovuti ya Vodacom, Vodacom pia imetangaza zawadi kwa washindi ambapo mshindi wa kwanza wa Km21 atajinyakulia shilingi 1000,000, mshindi wa pili shilingi 600.000 mshindi wa tatu 450,000 na mshindi wa nne shilingi 300,000 mshindi wa tano atapata shilingi 150,000 na kuanzia mshiriki wa sita mpaka wa kumi watapata shilingi 50,000 kila mmoja washiriki wa mbio hizo ni kuanzia miaka 18 na kuendelea.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment