Watu maarufu na magari ya kifahari hebu cheki hiyo!!

Huu ndiyo mchuma uliombeba mwanadada huyu na mcheza sinema maarufu wa Nollywood nchini Nigeria hivi karibuni ilikuwa ni harusi ya kukata na shoka je wadau na wapenzi wa filamu za Kinigeria Mnamfahamu huyu lete maneno.
Na hili ni Dude aina gani jamani kazi kwenu.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

3 comments:

  1. i like the car

  2. woooh !!! its a nice car

  3. woooh !!! its a nice car

Post a Comment