RAIS JAKAYA AKIPOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA BALOZI HATTEM ATTALAH!!

Rais Jakaya Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi wa Tunisia nchini Hattem Attalah Ikulu leo katikati ni mkuu wa Itifaki Mh. Itatilo Rais pia alipokea hati za utambusho wa balozi wa Sierra Lione nchini Balozi Gbabey Bangali.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment