Rais wa Marekani Barrack Obama katikati akiwa na mkewe Michelle na Rais wa Ufaransa Nicolas Sarkozy kulia na mke wake wakibadilishana mawazo walipokutana kwenye mkutano wa G20 unaofanyika nchini Uingereza kuzungumzia na kupanga mikakati ya kukwamua anguko la uchumi Duniani lililotokea katika nchi tajiri Duniani inasemekana ulinzi umeimarishwa kwa kiwango cha hali ya juu katika mkutano huo ili kuhakikisha mkutano huo unafanyika kwa usalama.
BARACK OBAMA RAIS WA MAREKANI NA SARKOZY WA UFARANSA WAKITETA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment