NAPENDA KUWATAKIENI SIKUKUU NJEMA YA PASAKA WATEMBELEAJI WOOTE WA KIJIJI HIKI,NAOMBA TUISHEREHEKEE KWA AMANI NA PIA KWA UTULIVU ULIOTUKUKA,NA PIA NAWAOMBEA KWA MUUMBA AWAJAALIE AFYA NJEMA NA KWA WALIO MAHOSPITAL AWAWEZESHE WAWEZE KUENDELEA VIZURI NA PIA AWAJAALIE WAPONE KABISA.NAWASHUKURU SANA WADAU WANGU WAPENDWA NA NAAMINI KILA KITU KITAKWENDA SAWA KATIKA SIKUKUU HII YA PASAKA.
PAMOJAH.
-MZEE WA MTAANI
PAMOJAH.
-MZEE WA MTAANI
0 comments:
Post a Comment