Rais Jakaya Kikwete akitembezwa katika Hoteli ya Kiromo View iliyopo kandokando ya Barabara ya Bagamoyo leo wakati alipoizindua rasmi kulia anayempa maelezo ni mkurugenzi wa hoteli hiyo bw. James Mujunamgoma na kushoto ni Waziri wa Maliasili Mh Shamsa Mwangunga na mkuu wa mkoa wa Pwani Dk Christine Ishengoma.
JAKAYA AIZINDUA KIROMO VIEW BAGAMOYO!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment