MKE WA RAIS GBAGBO WA IVORY COAST MAMA SIMEONE GBAGBO PI ALIWAAGA MASHABIKI 19 WA SOKA WAILOKUFA NCHINI HUMO!!

Picha ikimwonyesha mke wa Rais Ivory Coast mama Simeone Gbagbo alipohudhuria utoaji wa heshima za mwisho kwa mashabiki 19 waliokufa wakati wa mchezo kati ya Timu ya Nchi hiyo na Malawi katika uwanja wa Felix Houhpoeut Boigny mashabiki hao waliagwa tarehe 1/4/2009 mjini Abidjan, katika purukushani wakati wa mchezo huo pia mashabiki wapatao 130 waliumia na mchezo huo ulikuwa ni wa kuwania nafasi ya kucheza kombe la Dunia nchini Afrika Kusini mwaka ujao 2010

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment